@WHO: RT @UmojaWaMataifa: Idadi ya watoto chini ya miaka 5 walioambukizwa homa sugu ya ini aina ya B imeshuka hadi kufikia 1%, ikilinganishwa na 5% kabla ya enzi za kutolewa chanjo. Zaidi kutoka @WHO Jumanne #WorldHepatitisDay: https://t.co/V9zybnG95F https://t.co/8zOMHXF2UK
http://twitter.com/WHO
via IFTTT
via IFTTT
Comments
Post a Comment